Tumuite home aje atuimbie, hela ya show nitalipa mie.. uwe mgeni rasmi ☺️☺️Huyu kijana Ni fire Sana,mashairi yake yana mvuto Sana,ye mwenyewe ana mvuto Sana,kifupi mziki unamnogea.... Hongera kwa kazi nzuri kijana
Ova
nipigie niimbieAsante
Nahakikisha nitazid kutoa nyimbo kali na nzuri zaidi