Wewe ni mzungu au mwarabu?Wazungu, waarabu ni weusi...
Atachagua mwenye perfomance kali kati yetu 😅😅Weeee si mtamuua mwenzenu?😳😳😳
Nikutumie namba zake PM umuulize 😅😅😅Nyieeeeeee huyu mtoto sijui katokea Tanga huyu jamani hebu anayejua anijuze jamani
Mm ni rangi ya mtume S.W.AWewe ni mzungu au mwarabu?
😳😳😳😳😳😳Mm ni rangi ya mtume S.W.A
Wasalaam
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwa Sasa
+267
Niloe kwa Jaymelody?Ukikutana nae road ghafla unaweza loa ukaisha kabisa, afu yeye hana time na wewe kabisa
Acha bhana 😂😂😂Ungeandika koment isiyomalizia hivi ningeandamana😂
Kwa hio umegoma kutoa GG?Niloe kwa Jaymelody?
Hebu nitake radhi
Za kina fulani 😂😂Kiki za kingese ndio kama zipi hizo mkuu
😅😅😅
Nani huyo hajatoa GG 😅Kwa hio umegoma kutoa GG?
Hahaha
Joanah vs Jay MelodyNani huyo hajatoa GG 😅
Kg ngapi vile🤣Dark, tall na kamwili mwili kawepo🤣🤣
Mkuu Mufti kasikilize ngoma yake moja inaitwa namwaga mboga.Ahmed Albah-shahwa (Ph.D), Ya kweli haya??
Ndo Ngoma pekee nayoipenda Kwa huyu jamaa 2018 niliiskiliza Sana hii ngomaGOROKA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nampenda upendo wa agape tu,Ni mdogo Sana yule kwangu namzaa huku nacheza singeli