Labda ma vitu zao za simu kujiedit .basi salamaHamna picha tu imemtoa vibaya,mbona huwaga amekaza tu
Ni kadume kabisa .sikuiz tunapata wasiwasi sanaKauzuri nako kapo kapo🤣🤣🤣
Ndio tena kipindi hicho hajaanza kuwa na jina jay melody walipozinguana ndio akaamua kuanza kuimba mwenyewe sasa.Kumbe ndio alikuwa fundi wake?
Angalia hilo pozi kwenye hiyo picha then utaelewa what i mean [emoji4]Kwa Nini wa Daslam na sio wa mkoani jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaa.Mlongo wangu wanataka nimpe mtoto wa watu degedege kuchungulia wazee[emoji1787]