J SISTERS wakiimba wakati wa RECEPTION PARTY ya mwenzao

martinozz

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
5
Reaction score
2
Party hii bab kubwa ilifanyika jijini Mwanza tarehe 4 Agosti 2017 maeneo ya ROCK BEACH GARDEN.
Afrisana Production walihusika katika picha na video.

Click ujionee mwenyewe

 
Mnhh...!! Wamekua wamekuwa ma ugly.
 
Matawi ya juu mazoo makuu
Wengine denda lawatoka ka Masakuu...

Sent from my Kimulimuli
 
]kumbe namimi nmekua kma Hawa wapo ivi!
mie mwenyewe hapa najishangaa kama hawa wameshaolewa ubibi gagula unanipiga hodi! maana nilikua mtoto mwenzao hahahah
 
mie mwenyewe hapa najishangaa kama hawa wameshaolewa ubibi gagula unanipiga hodi! maana nilikua mtoto mwenzao hahahah
Yani tukikutana mzee mwenzangu tusiache kupeana ugholo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…