Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yako kasi sana kuliko kawaida yani hawa nao ni watu wazima sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalikoolewa? Maana bado wawili...mwingine ataolewa soon. So huenda unayempenda bado yuko availablenilikuwa nakapendaga kamoja....dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnhh...!! Wamakua wamekuwa ma ugly.
mie mwenyewe hapa najishangaa kama hawa wameshaolewa ubibi gagula unanipiga hodi! maana nilikua mtoto mwenzao hahahah]kumbe namimi nmekua kma Hawa wapo ivi!
Duuh!Mnhh...!! Wamekua wamekuwa ma ugly.
Yani tukikutana mzee mwenzangu tusiache kupeana ugholomie mwenyewe hapa najishangaa kama hawa wameshaolewa ubibi gagula unanipiga hodi! maana nilikua mtoto mwenzao hahahah
Okay sawa ahsante kutufahamisha!!Wamekua sana. .hata hivyo ni maisha bora hao long time! unamjua mama yao? DC Kibaha..Former MP! Asumpta Mshama!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mnhh...!! Wamekua wamekuwa ma ugly.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani tukikutana mzee mwenzangu tusiache kupeana ugholo