Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Hao ni kina nani? Sijawahi wasikia ndo leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanasoma Private University huko Nairobi hako...kazuri.Nilikuwa nampenda wa mwisho wao ana macho makubwa kiasi,kazuriiiii
Ndio lile li mama lilikua linatukana hovyo mjengoni.Wamekua sana. .hata hivyo ni maisha bora hao long time! unamjua mama yao? DC Kibaha..Former MP! Asumpta Mshama!
kimeshaolewa,pole mkuu.nilikuwa nakapendaga kamoja....dah
SanaaaKanasoma Private University huko Nairobi hako...kazuri.
KumbeeWamekua sana. .hata hivyo ni maisha bora hao long time! unamjua mama yao? DC Kibaha..Former MP! Asumpta Mshama!
Wanafaa kuolewa kabisaMaisha yako kasi sana kuliko kawaida yani hawa nao ni watu wazima sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmiliki wa bahari beach high schoolWamekua sana. .hata hivyo ni maisha bora hao long time! unamjua mama yao? DC Kibaha..Former MP! Asumpta Mshama!
Kale keupe kidogo afu kajanja janja ila sijui ni kapi haponilikuwa nakapendaga kamoja....dah