J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

Usiishie tu kupagawa na kuandika threads humu ukasahau nawe una wajibu kwa mwenzi wako. Mapenz ni kutumikiana usije jisahau kamwe maana unaweza washiwa red light any time. By the way put your God first instead of your partner everything will be under control.
 
Mapenzi ya siku hizi huwa mixer na ushirikina
 
Usiishie tu kupagawa na kuandika threads humu ukasahau nawe una wajibu kwa mwenzi wako. Mapenz ni kutumikiana usije jisahau kamwe maana unaweza washiwa red light any time. By the way put your God first instead of your partner everything will be under control.

Thanks .
 
mapenzi ya siku hizi huwa mixer na ushirikina

Mkuu huamini kuwa unaweza pagawa tu na swaga za mtu bila ushirikina?
Mungu anao uwezo mkubwa kuzikutanisha nafsi zinazopendana kana kwamba kila moja iliitafuta nyenzie ktk jangwa kubwaaaa.
All in all nampenda sana huyu Bwana J.
 
Hiyo J imenistua lol
Usijali.... mwenyewe huyu hapa chini.

[h=1]jfm
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

Join Date30th December 2010Last Activity30th December 2010 20:05Avatar
unknown.gif

Kama una mdogo wako, mwambie na mimi moyo wangu ni kama wa jfm

CC Preta ukuje huku umpokee wifi mpya.

Aisee
Nimecheka kwa sauti.
Nitamjuza,umri wako lkn,maana una sound kama umekula chumvi nyingi asijejiingiza kwenye risk👅
 
Last edited by a moderator:
Aisee
Nimecheka kwa sauti.
Nitamjuza,umri wako lkn,maana una sound kama umekula chumvi nyingi asijejiingiza kwenye risk

Miaka 72 sio mingi. Nimelingana na Reginald Mengi. Unataka kunambia K-lyn amepotea njia??
 
Miaka 72 sio mingi. Nimelingana na Reginald Mengi. Unataka kunambia K-lyn amepotea njia??

Mengi ana makaratasi ya bank,we unayo?
Yale makaratasi humuongezea life span kwani anakua stress free hivyo chance ya kumuacha k-lyin mjane inapungua(ceteris peribus) ukilinganisha na asie na madolare.😂
 
Back
Top Bottom