Boguz reply.
Usiishie tu kupagawa na kuandika threads humu ukasahau nawe una wajibu kwa mwenzi wako. Mapenz ni kutumikiana usije jisahau kamwe maana unaweza washiwa red light any time. By the way put your God first instead of your partner everything will be under control.
mapenzi ya siku hizi huwa mixer na ushirikina
Aisee, ntatapika futar kwa kichekoMkopie umtumie kwa wasap kabisa ndo itakuwa na uzito au hutaki ajue kuwa umeongea haya??
Nimefurahi sana uandishi wako.asante kwa kuwa mkweli maana watu wana tabia ya kukandia kila kitu hapa jukwaani . Uko wapi Little Angel
Usijali.... mwenyewe huyu hapa chini.Hiyo J imenistua lol
Aisee
Nimecheka kwa sauti.
Nitamjuza,umri wako lkn,maana una sound kama umekula chumvi nyingi asijejiingiza kwenye risk
Hiyo J imenistua lol
Miaka 72 sio mingi. Nimelingana na Reginald Mengi. Unataka kunambia K-lyn amepotea njia??