J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

Asprin mbona inaonekana kama unaingiza virus kwenye pm yangu? Kwani na huyu mrembo wamtaka wewe wakati tuna comprehensive agreement ya kuachiana majimbo.

Oh... samahani kiongozi, nilijisahau nikatumia rasimu ya katiba badala ya katiba pendekezwa ya maCCM,

Popote ulipo Khantwe... mpelekee swahiba hicho kinaniliu.
 
Last edited by a moderator:




mrejesho kwa wanajamii ni kwamba mimi na j tumekuwa wachumba official na sooner or later tutafunga ndoa.
 
Penzi jipya lina raha yake,asikwambie mtu! Tabu ni pale mnapozoeana vya kutosha, huyo J wako utamwona wa kawaida sana.Anyway kila la heri bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…