J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

J umenipagawisha kwa penzi lako (Nampenda sana huyu senior expert member, jina namhifadhi)

Mmmh........ngoja niangalie members wanaoanziwa na J...
Tatizo huwezi jua jfm ni I'd humu au jina halisi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Huwa yanaanza hivi hivi ila baadae unakuja kuwa muumini ulie tukuka wa break up songs mara unakosha vyombo unaimba am doing just fine ya boys 2 men ukiwa unakunja nguo kabatini upo na he wasn't the men enough ya toni braxtone alaa kuli hali mashairi yote umeyakariri.
 
Ok lengo lako ni kumfikishia ujumbe kuwa umejua id yake.. Ole wake apost bhange sasa, kazi anayo
 
Back
Top Bottom