J2: Mungu Awasamehe Wanadada Wote Wa Aina Hii:

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Bwana Yesu asifiweeee.....Tumsifu Yesu Kristooo.........Wasalaam Waleiku(kama nimekosea mtanisahihisha)

Siku Ya Leo Naomba Mungu awasamehe wadada wote Wanaowaponda Wanaume:

****Wafupi
****Wenye Vibamiaaaaaaa[emoji6]
****Wanene
****Wabaya
****Masikini
****Wenye Vitambi
****Weusi kama mimi
****Wasio na magari bali vyombo vya usafiri(mfano: vits,ist,passo, n.k)

Namwomba Mungu Awape maisha marefu
Waendelee kuchezewa na Ma-handsome wa mjini wala chipsi mayai na soseji changanya na mayonizee [emoji3][emoji3][emoji3]mpaka uzeeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajikuta wanangalia vigezo vingi utafikiri wanaume Tumejiumba Wenyewe.....pumb*******fuuuuu.....!!

***Mnaudhi sana nyie akina: miss chagga Evelyn Salt miss nedy n.k n.k




Amen......Amen.......

Nikikukera leave mi alone [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Ukimaind natuma tena

Maana hii ni copy tu original ninayo...ha ha ha....

Nakaribisha mapoooovuuuuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ha h ahha haaaa... Huyo mtoto atakua ni wa site engeneer wa hiyo china construction
 
Sifa zote ulizotaja hapo Mfano hai n mm, ninazo zotee 8, umeshau miguu, nina miguu km ya Charlie Caprin. Kwaio unani Arat nisahau kuhusu mke Mzuri?. NDI
 
[emoji27] [emoji27] [emoji27] 20's
you have 80years za kutapata mwanaume....ha ha ha ....kama sifa zote nilizotaja wewe unazo ha ha h....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
hakunaa anayependa kibaya, ndo maana hata wewe umeweka dp picha ya kihandsome boy[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji4][emoji4]kweli mkuu hakuna anayependa shida bwana zinatulemea tu
 
you have 80years za kutapata mwanaume....ha ha ha ....kama sifa zote nilizotaja wewe unazo ha ha h....[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Mkuuuu Matusi hayoo, ohooooo Nitakutekaa Hata Avatar huoni?. NDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…