J2: Mungu Awasamehe Wanadada Wote Wa Aina Hii:

J2: Mungu Awasamehe Wanadada Wote Wa Aina Hii:

hahaha unazunguka sana mkuu, hao uliowataja ndo walikuwa targeted. waje tu wajibu tuhuma za kukutenga wewe cheusi mangala
Bwana Yesu asifiweeee.....Tumsifu Yesu Kristooo.........Wasalaam Waleiku(kama nimekosea mtanisahihisha)

Siku Ya Leo Naomba Mungu awasamehe wadada wote Wanaowaponda Wanaume:

****Wafupi
****Wenye Vibamiaaaaaaa[emoji6]
****Wanene
****Wabaya
****Masikini
****Wenye Vitambi
****Weusi kama mimi
****Wasio na magari bali vyombo vya usafiri(mfano: vits,ist,passo, n.k)

Namwomba Mungu Awape maisha marefu
Waendelee kuchezewa na Ma-handsome wa mjini wala chipsi mayai na soseji changanya na mayonizee [emoji3][emoji3][emoji3]mpaka uzeeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajikuta wanangalia vigezo vingi utafikiri wanaume Tumejiumba Wenyewe.....pumb*******fuuuuu.....!!

***Mnaudhi sana nyie akina: miss chagga Evelyn Salt miss nedy n.k n.k

5e8c1022758e7c220bac8440bb16c1ee.jpg
7b41cae4dae526efbaee1f245dcc9009.jpg



Amen......Amen.......

Nikikukera leave mi alone [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Ukimaind natuma tena

Maana hii ni copy tu original ninayo...ha ha ha....

Nakaribisha mapoooovuuuuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nalingia MSALIBOKO WANGU na TINTED ROOM KWENYE MOYO WANGU(true love) mdada asiyependa hivyo pita mbali na mimi.
unalingia kitu kisichoonekana(msalibobo_),?? bora kingekuwa kinaonekana wangetishika kidogo lakini ivo wanaweza kuhisi huna ko hawana muda na wewe kabsa
 
Uzuri mie siyo domo zege natupia verse akiingia king anapewa ukweli akipenda anajituliza kwenye mshelimsheli asipo mind akule kona.
hahahaha ko umeamua kushindana nao, wao wanalingia misambwanda huku wewe unalingia msaliboko wako huhuhu mtaishia kulingiana ohooo
 
Back
Top Bottom