Bwana Yesu asifiweeee.....Tumsifu Yesu Kristooo.........Wasalaam Waleiku(kama nimekosea mtanisahihisha)
Siku Ya Leo Naomba Mungu awasamehe wadada wote Wanaowaponda Wanaume:
****Wafupi
****Wenye Vibamiaaaaaaa[emoji6]
****Wanene
****Wabaya
****Masikini
****Wenye Vitambi
****Weusi kama mimi
****Wasio na magari bali vyombo vya usafiri(mfano: vits,ist,passo, n.k)
Namwomba Mungu Awape maisha marefu
Waendelee kuchezewa na Ma-handsome wa mjini wala chipsi mayai na soseji changanya na mayonizee [emoji3][emoji3][emoji3]mpaka uzeeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajikuta wanangalia vigezo vingi utafikiri wanaume Tumejiumba Wenyewe.....pumb*******fuuuuu.....!!
***Mnaudhi sana nyie akina:
miss chagga Evelyn Salt miss nedy n.k n.k
Amen......Amen.......
Nikikukera leave mi alone [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Ukimaind natuma tena
Maana hii ni copy tu original ninayo...ha ha ha....
Nakaribisha mapoooovuuuuu[emoji3][emoji3][emoji3]