J2: Mungu Awasamehe Wanadada Wote Wa Aina Hii:

Je upendo wako kwa mwanaume ni pamoja na kukuhudumia au huduma inamwongezea tu credit?
hapana upendo wangu kwake sio lazima n kunihudumia ila kunihudumia ni wajibu wake sawa bamdogo utakua umenielewaa
 
hapana upendo wangu kwake sio lazima n kunihudumia ila kunihudumia ni wajibu wake sawa bamdogo utakua umenielewaa
Oouh nakuelewa mamdogo....nafikiri kwa majibu haya yako kijana aliyekuwa anakufiatilia atajua ajiweke wapi
 
Unataka usifiwe na kila mtu umekua nani?? Mungu mwenyewe kuna watu wanamponda!
 
Mimi nalingia MSALIBOKO WANGU na TINTED ROOM KWENYE MOYO WANGU(true love) mdada asiyependa hivyo pita mbali na mimi.
Msaliboko oooyeee! Wewe huo mzigo utakushinda kuubeba ukizeeka...
 
unalingia kitu kisichoonekana(msalibobo_),?? bora kingekuwa kinaonekana wangetishika kidogo lakini ivo wanaweza kuhisi huna ko hawana muda na wewe kabsa
Mkuu! Huyu bwana mdogo ukimuona tu utajua ana mzigo hapo kati!!! Yaani hawezi va zile skinny za kiume, katikati patatuna kama nundu
 
Mkuu! Huyu bwana mdogo ukimuona tu utajua ana mzigo hapo kati!!! Yaani hawezi va zile skinny za kiume, katikati patatuna kama nundu
usishangae ukakuta anasema ni msaliboko kumbe ni ngirimaji(busha)
 
Hapa kuna walakini na mtoa uzi yawezekana umetoswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…