Kabisa kabisa, tena jamaa kabarikiwa mtoto wa kiume, bonus shombe, si ajabu kuna perks na freebies zingine kama kanyumba kabaiskeli!
Mtaani kwetu huku Bunju kuna jamaa na mke wake wamebarikiwa mtoto shombe, wa kike, mama anafanya kazi kwa mwarabu, jamaa alikuwa anapanga chumba kimoja, sasa ana vyumba 6 na boda boda 2! Na anasema mtoto kafanana na shangazi yake wa Msoga! Sisi ni nani wa kubisha?!