Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 515
- 476
Nianzie hivi, hebu tuzungumzie kuhusu fuel consumption ya hizi engine za J series especial hii 20A ambayo ina ujazo wa 1995Cc, Engine hii kwa kifupi tu ninavyojua drivetrain yake imedizainiwa kwenye full 4wd kama sikosei..
Leo nawatafuta tena watu wenye uelewa pamoja na uzoefu wa hizi gari especialy Suzuki Escudo (TD54W).. Huu mzigo umefungwa kwenye suzuki ya model hiyo...
Engine ni 4 inliner..
what about the fuel consumption???????