Jabali kuu la TFF kuumbuliwa na PISIBIBI hivi punde

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa NYETI nilizozidaka hivi punde na tena zenye chembe chembe za uhakika wake kwa 99.9999% ni kwamba pisibibi wameshamaliza kazi yao na ndani ya hizo saa 240 nchi ya Tanzania itasimama kwa TAARIFA ambayo kwa sisi WAPIGANIA HAKI na UKWELI katika medani ya Michezo hasa mpira wa miguu naamini tutaifurahia mno ila kwa JABALI lao mwenyewe pamoja na TEAM yake najua wataumia sana.

NYETI zinazidi kusema kuwa tayari sasa JABALI anaandaliwa gereza lake MAALUM ili aende akapumzishe AKILI zake huko na kujutia kitendo kibaya cha upangaji wa matokeo alichokifanya kwa TAMAA zake.

NYETI hizo bado zinaendelea kusema kuwa japokuwa leo JABALI limeendelea tena kufanya USANII wake uliozoeleka wa KUWAHAMISHA Watu kutoka Ofisi moja kwenda nyingine ili KUKWEPESHA ushahidi juu ya sakata zima la Tabora na Kigoma lakini tayari ameshashikwa pabaya.

Ukweli ni kwamba wenye dhamana ya kufanya uchunguzi " pisibibi " wameshamaliza kazi yao na sasa wanasubiri tu mambo kadha wa kadha tu ya Kiofisi kisha waitishe press conference WATEME CHECHE.

Bwana Wallace Karia kuanzia sasa anza kupanga SAFU yako ya kumaliza miaka yenu iliyobaki kwani JABALI hutakuwa nalo tena hapo mitaa ya karume na mchikichini muda wowote kuanzia sasa.

Nimalizie tu kwa kutoa ombi kwa Mheshimiwa Waziri husika kuwa wale jamaa wawili ambao sauti zao ndizo zimesikika mno naomba jitahidi kadri uwezavyo kukamata pasi zao za kusafiria kwani kwa NYETI nilizozipata wao tayari wameshajua kuwa na wao wameingia " nyavuni " kwa pisibibi hivyo sasa wanajiandaa kukimbia nchi kwenda kujificha.

Hongereni sana pisibibi na hakika sasa ndiyo nimeanza kuona UELEDI wenu katika kutenda kazi na nawatakieni kila la kheri katika kutangaza uozo wa JABALI huku mkimuelekeza gereza la kwenda kupumzika ili iwe fundisho kwa Watendaji wengine wenye tabia kama zake.

Furaha yangu ni kubwa ni kwamba nilichokipigania KIMEZAA MATUNDA hivyo najiona ni MSHINDI Mimi na wale wenzangu wote tulioguswa na kitendo kile kibaya cha UPANGWAJI MATOKEO MICHEZONI ambacho kiukweli ndicho kimedidimiza kabisa Soka letu la Tanzania kupelekea kila siku tunapiga " mark time " tu huku wenye mipango, ueledi, mikakati, mbinu na uthubutu wakitupita.
 
10 days???? mmmm...anyway sitaki kuamini au kutokuamini
 
Wapiga dill kila kukicha wanazidi kuumbuka tu
 
Hembu nifafanulie,wanavyopanga matokeo wananufaika zaidi na nn manake ingekuwa ligi yetu inaumaarufu ningesema labda kwenye betting,hembu nitoe tongotongo,wewe kiboko ya wajeda.
 
Hujawahi kusema kitu kikatokea kweli, kwahyo hata hii naiona kama porojo tu.
 
Kosa letu lilikuwa kushindwa kumulewa L. C. Tenga wakati wa uchaguzi wa pale Mchikichini
 
tangu nshomile ashike hiyo ofisi, ukimlinganisha na tenga ni sawa na kumlinganisha kindergaten na university kwa akili uongozi kila kitu. tulipotea sana kumpata nshomile hapo, ndio maana alijaza ndugu zake kweli naamiini sasa. hafanyi kitu kabisa, hana lolote na sijawahi kumwona anaongea point hata siku moja. walilalamika sana kipindi kile kwamba ametoka kwenye upromota wa ngumi sijui sasa amehonga hela akagombea eneo hilo, matokeo yake hatusaidii lolote. akitumbuliwa huyo mioyo ya wengi sana itafurahi.
 
Kila la khery kwanza alituzalilisha wana jukwaa la jf la sport

Umeongea point ila Nembo iliyopo katika Avatar yako imenitibua na kunikera tena sana tu ( natania ) ila Wewe ni Mtani wangu wa Yanga FC wazee wa " mbeleko mbeleko " ila mkitoka tu nje " mnatunguliwa " kiulaini! Ngoja Jumamosi Azam watufunge tupate sababu ya kufanya FUJO iliyotukuka Taifa na tuwafukuze akina Aveva na Kaburu kwa hasira tuchukue timu tumkabidhi MO aifanye anavyotaka. Tumeshachoka kila siku kwenda tu kupima Presha ya kupanda na kushuka huku tukishindia tu Panadol na Diclopa kwa Hasira na Kufoka kwa Maudhi yetu Wanasimba Sports.
 
Poleni sana watani wangu ndiyo ukubwa huo si mnajenga timu jamani
 
Back
Top Bottom