Jabir Saleh Mtangazaji bora kabisa wa radio wa kizazi cha sasa

Jabir Saleh Mtangazaji bora kabisa wa radio wa kizazi cha sasa

Hivi huyu ndo aliimbaga 'Mimi ni msela siwezi kwenda jela, mwanamke mweusi macho kama pusi'? Au namchanganya Na Sos B?
 
Kwa mda huo atachoma mafuta bure, huku kina dozen Na Mchomvu kule kina Dullah
 
Dullah swagga zake huwa namfananisha na Proverb presenter wa Channel O ya Afrika Kusini.
Dah! nilikuwa namkubali sana Proveb, anajua sana, siku hizi anafanya muziki wa Gospel ila kwenye hiphop zaidi.
 
TEKNOLOJIA
Hapana mkuu. Majina tu yamelandana ila ni watu wawili tofauti kabisa ... Alafu Saleh Jabir ajawai kuwa mhasisi wa bongo hip hop.
 
Jamaa anajua sana, wanaomponda hawajawahi kumfuatilia
Yeah ata mimi nmeona hilo wengi awajapata nafasi ya kumsikiliza ndio maana atuelewani hapa. Naamini alipo sasa atasikika na wengi zaidi na kueleweka.
 
Yeah ata mimi nmeona hilo wengi awajapata nafasi ya kumsikiliza ndio maana atuelewani hapa. Naamini alipo sasa atasikika na wengi zaidi na kueleweka.
Mimi nimeshawai kumsikia sana pale times Fm na ana uwezo mkubwa sana na naona muda wamempa mdogo sana.
 
Management ya Times fm hawa watu sijui wana matatizo gan.Wameondoka madj weng kwenye kituo chao na watangazaji wakal lakini sion replacement yoyote waliyoifanya.Kwa mwendo huo wataendelea kuwa wa mwsho tu kwa radio za burudani town
moja ya kitu kinacho wabana kutokupata wasilizaji wengi ni Frequency zao..mtu si rahisi kufika huko 100..
 
Nyaulawa Jr na Hermy hawana vision ya radio. Ushindani ni mkubwa sana na vyombo vya habari viko katika mpito wa mabadiliko. Hivyo mwenye nguvu na pochi kubwa ndio ataingiza pesa nyingi zaidi. Naikumbuka Times ya "Experience Africa".
 
Mtangazji bora kabisa wa muziki wa Hiphop kwa sasa Tanzania Jabir Saleh aka Kibonge Toz anakuja rasmi na kipindi kipya ndani ya radio ya EFM. Kipindi hicho kitaitwa Ladha 3600 ambacho kitakuwa hewani kila siku kuanzia saa 9 – 10 za jioni.

12321500_253802331630225_5987531152317887646_n.jpg


Kwa sasa naweza kusema hakuna mtangazaji wa radio kizazi hiki anaeujua muziki wa kizazi kipya na old skul especially hiphop kama Jabir. Ni mtangazaji mwenye staili ya aina yake kuanzia utangazaji, swag, uelewa na uhodari.

11080942_253802274963564_707924809482667018_n.jpg


Nampa pongezi kwa kazi yake na tunaomba aendelee kuiwakilisha Hiphop ata huko kwenye nyumba mpya. Sisi wapenzi wa Hiphop tunakubali juhudi zako na tunakutegemea kama askari hodari na masikio yetu yapo kwako.

12801561_253802934963498_1804699083555783388_n.jpg
KUMBE NDUGU JABIR HUKU UNATUMIA ID YA GadoTz !!!
 
Hakuna,mi nakataa,kama mwili wake mwenyewe umemshinda hata kazi ya mtu ya kuajiriwa itamshinda,
Mwambie apungue kwanza.[/QUUmejuaje kuwa mwili umemshinda he wants to be BIG then he is, hakuna haja ya kutoa mapovu, kitu cha umuhimu ni kuangalia uhebdeshaji wa kipindi chake then we will discuss about him
 
Back
Top Bottom