Jabir Saleh Mtangazaji bora kabisa wa radio wa kizazi cha sasa

Saleh Jabir huyu ndiye yule mhasisi wa bongo hip hop ama?
 
Hivi huyu ndo aliimbaga 'Mimi ni msela siwezi kwenda jela, mwanamke mweusi macho kama pusi'? Au namchanganya Na Sos B?
 
Kwa mda huo atachoma mafuta bure, huku kina dozen Na Mchomvu kule kina Dullah
 
Dullah swagga zake huwa namfananisha na Proverb presenter wa Channel O ya Afrika Kusini.
Dah! nilikuwa namkubali sana Proveb, anajua sana, siku hizi anafanya muziki wa Gospel ila kwenye hiphop zaidi.
 
TEKNOLOJIA
Hapana mkuu. Majina tu yamelandana ila ni watu wawili tofauti kabisa ... Alafu Saleh Jabir ajawai kuwa mhasisi wa bongo hip hop.
 
Jamaa anajua sana, wanaomponda hawajawahi kumfuatilia
Yeah ata mimi nmeona hilo wengi awajapata nafasi ya kumsikiliza ndio maana atuelewani hapa. Naamini alipo sasa atasikika na wengi zaidi na kueleweka.
 
Yeah ata mimi nmeona hilo wengi awajapata nafasi ya kumsikiliza ndio maana atuelewani hapa. Naamini alipo sasa atasikika na wengi zaidi na kueleweka.
Mimi nimeshawai kumsikia sana pale times Fm na ana uwezo mkubwa sana na naona muda wamempa mdogo sana.
 
Management ya Times fm hawa watu sijui wana matatizo gan.Wameondoka madj weng kwenye kituo chao na watangazaji wakal lakini sion replacement yoyote waliyoifanya.Kwa mwendo huo wataendelea kuwa wa mwsho tu kwa radio za burudani town
moja ya kitu kinacho wabana kutokupata wasilizaji wengi ni Frequency zao..mtu si rahisi kufika huko 100..
 
Nyaulawa Jr na Hermy hawana vision ya radio. Ushindani ni mkubwa sana na vyombo vya habari viko katika mpito wa mabadiliko. Hivyo mwenye nguvu na pochi kubwa ndio ataingiza pesa nyingi zaidi. Naikumbuka Times ya "Experience Africa".
 
KUMBE NDUGU JABIR HUKU UNATUMIA ID YA GadoTz !!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…