Jack cliff ahukumiwa kifungo cha miaka 6

Jack cliff ahukumiwa kifungo cha miaka 6

hahaha.....ulokole wa muda .....machungu yakiisha anasahau....

Mmh!! Kipindi kile ndo anatoka jela lulu yeye na biblia tu full pambio za kumsifu mungu, siku izi naona anaimba nyimbo za kina justin beiber mmh!! Kweli lulu kiboko
 
Mmh!! Kipindi kile ndo anatoka jela lulu yeye na biblia tu full pambio za kumsifu mungu, siku izi naona anaimba nyimbo za kina justin beiber mmh!! Kweli lulu kiboko

ndivyo tulivyo wanadamu tunamkumbuka Mungu kipindi cha magumu........tukiwa tambalale mwendo mtundo...
 
Anatoka soon na ataendelea na kazi kama kawa iyo geresha tu.....jux kahamia kwa vanessa mdee baada ya kuskia mambo yameenda mrama....
 
Yes binamu, ahsante sana zilakina niliona thread yako kule, dah shukrani sana aiseeh nilifurahi kukumbukwa

Weee zilifunguliwa thread tatu,,uliza hao mbwa wengine wanaokula ban washawah hata funguliwa uzi kuuliziwaa,,lazimaa walambe ndimuuu na mbegu zake watafune
 
Last edited by a moderator:
Miaka sita ishapita toka hiyo tarehe 11/08/2014.....please China free our Jack Cliff.
 
Ushahidi kuwa kaachiwa upo wapi? Yaani nilivyoactive mtandaoni jack aachiwe mpaka awe na kipindi nisijue? Usitufanye sisi watoto wadogo
Kaachiwa kitambo na anakipindi star tv since corona haijashika hatam
 
Back
Top Bottom