Jack G, New Member

Jack G, New Member

Jack G

Member
Joined
May 8, 2012
Posts
30
Reaction score
7
Habari JF,
Kwa muda sasa nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mijadala mbalimbali hapa jamvini na nimeona vema kujiunga pia. Natumai mtanikaribisha. Kama nilivyoona mtiririko wa mijadala, mimi pia nakuja kwa lengo la kuchangia mawazo juu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii yetu. Kwa vile hapa JF kuna kanuni ya uhuru wa mawazo bila kuvunjiana heshima, nitajitahidi kuheshimu taratibu na kuwa tayari kurekebishwa ninapokosea. Hivyo ndivyo nami nitafanya kwa wengine bila woga. Cheers
 
Karibu sana Mkuu. Nakupongeza kwa kusoma JF RULES.
 
Globu, Katavi, and Ulimakafu; am grateful to u guys for welcoming me to the forum. Cheers
 
Many thanks to all members for ur gud welcome gesture
 
Mkare-wenu & Gagso; Ahsanteni sana kuniona
 
Back
Top Bottom