Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Sanaaa...na maskin pia[emoji23] [emoji23]Matajiri washamba.
Ila watu wakatikati wajanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaaa...na maskin pia[emoji23] [emoji23]Matajiri washamba.
Jamani rafiki udenda unanitoka![emoji116][emoji39] [emoji39] [emoji39]Sina chura [emoji23]
Desire??? Daaah. Nikachafue mwili wangu kwa jina la mwanaume? Bado aiseeUnaambiwa hadi alikuwa na tatoo ya jina la jack eti walivyoachana ikabidi aende waibandie ile ngozi sehemu yenye jina
Hamnaga wema nyie. Hata mtu akate mauno kama pangaboi mtachepuka tu kamtafute pangaboi lingine. Kama viuno hivyo kuna mwingine anavikata zaidi huku anacheza na ndevu/chuchu zako huko nako si utalowea
J3 I'll be backMdudu kwanza
Sawa engineer [emoji23][emoji23][emoji23]J3 I'll be back
Nimempenda sana kwa hiloDada jasiri sana. Maana angekuwa mtumwa
Ujinga upi mkuu?Chura siyo kwa ajili ya ujinga huo,na ulaaniwe![emoji32]
No huyo Honey ndiye alikuwa kajichora tatoo ya Jack siyo Desire.Desire??? Daaah. Nikachafue mwili wangu kwa jina la mwanaume? Bado aisee
Baaas nishaionaHalafu anavyojituma sasa maskini,yaani machozi yamenitoka siwezi risk afya yangu namna ile.Labda huyo dada alishaungua maana kufanya peku peku na mtu kama Jack Pemba ni sawa na kujitia kitanzi.
Oooh. Kuna watu wanajimudu. Utakuta pesa tu hapo ndo ilimtoa akili hivyo.No huyo Honey ndiye alikuwa kajichora tatoo ya Jack siyo Desire.
Halafu Desire ana mtoto mkubwa
Hakuna kama pesa, nakumbuka auntie ezekiel alipokuwa akielez alivyopata mateso akiwa na jack pemba alivyomdunda mpaka mimba ikatoka alivyokuwa siku moja anamgonga akapigiwa simu katikati ya game akapokea na kumwambia mpigaji don't disturb me I'm just fu*kn my wifeOooh. Kuna watu wanajimudu. Utakuta pesa tu hapo ndo ilimtoa akili hivyo.
Hakuna kama pesa, nakumbuka auntie ezekiel alipokuwa akielez alivyopata mateso akiwa na jack pemba alivyomdunda mpaka mimba ikatoka alivyokuwa siku moja anamgonga akapigiwa simu katikati ya game akapokea na kumwambia mpigaji don't disturb me I'm just fu*kn my wife
Haya ni maelezo ya auntie wz ezekiel kwenye jarida la Baab Kubwa la mwaka 2009 au 2010 sina kumbukumbu vizuri🙁🙁🙁 mkuu hii ni kweli??
Kutumia condom pia kunahitaji ujasiri...Watu wanajiamini unaanzaje kufanya matusi na mtu player kama Jack Pemba bila Condom?
Dada anakata kiuno balaaOooh. Kuna watu wanajimudu. Utakuta pesa tu hapo ndo ilimtoa akili hivyo.