Jack Pemba avujisha video yake ya ngono

Jack Pemba avujisha video yake ya ngono

View attachment 758539 Aliyewahi kuwa bwana wake Auntie Ezekiel Pedej'ee Jack Pemba ambaye kwasasa anaishi nchini Uganda akifahamika kwamba ni Raia kutoka Kongo, wiki hii ka trend kwenye vyombo vya habari vya nchini humo baada ya video yake akiwa anakula tunda bila chenga kuvuja huku ikidaiwa kaivujisha mwenyewe.
Video hiyo ambayo anaonekana akiwa na mdada ajulikanaye kama Honey Suleman ambaye inasemekana ni rafiki mkubwa wa mke wa Jack Pemba hadi wanaitana ndugu.
Kwenye video hiyo Jack kaficha uso wake huku akimwacha mdada aonekane.
Honey anadai ya kwamba video hiyo waliirekodi wakati wakiwa penzini na Jack Pemba alimtaka ampatie 5,000$ asiivujishe jambo ambalo Honey anasema hakuwa tayari kufanya hivyo akamwambia avujishe tu maana hayuko tayari kuwa blackmailed.
Aliongeza kuwa bado Jack Pemba anazo video nyingine mbili hivyo bora tu aziachie zote maana hatishiki.
Jack Pemba ambaye kwa sasa inadaiwa kafulia hali tia maji tia maji ana madeni mengi mpaka kuweka gari zake rehani imewashangaza wana Uganda kusikia ana nyemelea mpaka ela ndogo kiasi hicho wakati awali alikuwa anaosha gari zake kwa pome za bei ghali.
Kutokana na maadili ya jf video sitoiweka ila pichani ni Jack Pemba na Honey.
Mitandaoni watu wanamsifia Honey kwa jinsi alivyokuwa anajituma na mauno kama fifi moto wakati wakimponda kuwa kakauka hana maji kabisa.
Huyu tapeli nae kwa kupenda sifa ,amkumbuke na mama yake huko Ukonga anaishi kwa kubangaiza
 
Huyo Jack Pemba bado anaishi kwa style iliyopita, rafiki zake wamebadili mfumo ili kuikabili hali halisi ya sasa. Wacha apambane na hali zake.
Jamaa kawaliza wazungu,mwenzake kafungwa na siku hizi ana pesa chafu,lakini mama yake anaishi kwa kuungaunga ilihali yeye anatanua utadhani ndio kabalehe jana.Jack anawaweza wazungu kutokana na umahiri wake wa kutema lugha ya malikia
 
Mbongo ana dada ake anaitwa Jennifer Pemba a.k.a Junaithar
Eheheee bana ehehee kumbe Junaithar ni Dada ake aseeeeee..
Me yule Dada napenda alivo na tako na ile sura ake kila nikimuona nadisa ipo siku nitakuwa kiben10 chake......
 
Eheheee bana ehehee kumbe Junaithar ni Dada ake aseeeeee..
Me yule Dada napenda alivo na tako na ile sura ake kila nikimuona nadisa ipo siku nitakuwa kiben10 chake......
Eeeh. Dadake sijui mdogo wake. Ana tako kama kabati. Mwenyewe namuangaliaga simmalizi ule mtako
 
Eeeh. Dadake sijui mdogo wake. Ana tako kama kabati. Mwenyewe namuangaliaga simmalizi ule mtako
Me ndio nishamtanami kufaaaa yani ipo siku nitavaa mabomu akibalasa sawa tu ila nitakuwa nishamwambia how I feel....
 
Acha umbea wewe,,,,weka link kama hutak onekana muongo,lasivo wew muongo Sana axe
 
Jamaa kawaliza wazungu,mwenzake kafungwa na siku hizi ana pesa chafu,lakini mama yake anaishi kwa kuungaunga ilihali yeye anatanua utadhani ndio kabalehe jana.Jack anawaweza wazungu kutokana na umahiri wake wa kutema lugha ya malikia
Du mkuu yaani nimeona video kibao za Jack anaongea kiingereza kama unamsifia basi wewe utakua sio mzuri kwenye hiyo lugha
 
Du mkuu yaani nimeona video kibao za Jack anaongea kiingereza kama unamsifia basi wewe utakua sio mzuri kwenye hiyo lugha
Hata mi nimeshangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom