Jack Pemba azua tafrani Dar

PAPAA JIWE

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
863
Reaction score
149
Kijana Jack Pemba amezua kizaazaa uwanja wa ndege Dar. Hii ni baada yakuanza kuvamia meza za watu na kujitangaza kuwa amerudi Dar.

Huku akiongea kwa sauti kubwa hadi bar yote ya Flamingo ikisikia, Jack alitoa lugha za matusi kwa wageni wote walikuwa katika bar hiyo. Jack alijigamba pia kuwa kina Wema na Aunt Ezekiel hawana jipya kwake na ndio amesharudi Dar kusumbua mji.

Maaskari wamekuja na kutaka kumsweka ndani ila Jack akaomba msamaha na watu wengine wamemuombea msamaha.
Ndipo jack kaamua Flamingo nzima wapewe vinywaji na yeye analipa. Kabla ya bili kuja jack kamwaga madolari mezani.

Inaonekana Jack ana stress za maisha.
 
Makubwa!!sasa anataka nini kwa Wema na Aunty ake?!tena aangalie usije mji ukamsumbua yeye.
 
Who the hell is she!? Na nan kakwambia tuna shda nae.
 
Yupo hapa flamingo. Ofa za bia zinaendelea
 
Jack Pemba mzee wa kumwaga minoti kwenye kumbi za starehe, Mtoa mada aka PAPAA JIWE mtahadharishe huyo papaa mwenzako bongo mapapaa wote wamekwisha umebak wewe tu na yeye sasa kama atamudu...
 
Last edited by a moderator:
Africans, no.1 money missuser ever happened on the face of this earth!
 
Last edited by a moderator:
Au roho inamuuma kisa Aunt ana mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…