Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,711
Jack Pemba mzee wa kumwaga minoti kwenye kumbi za starehe, Mtoa mada aka PAPAA JIWE mtahadharishe huyo papaa mwenzako bongo mapapaa wote wamekwisha umebak wewe tu na yeye sasa kama atamudu...
Papaa aliebakia mjini ni mmoja tu,katunzi,hii ni baada ya yeye kua mjanja kujenga apartments huko mbezi zinazompa kula sasa mjini,wengine wote njaa inawaua.
Last edited by a moderator: