Jackie Cliff ni mwingereza

Jackie Cliff ni mwingereza

Mbona unaandika kwa hasira hivyo?una maslahi yeyote ya yeye kupata huo uraia?It's not normal
 
Ni kama unateseka hivi chanzo ni uraia or there is something else?
Anaitwa Jackie Cliff so kuna surname, anapicha ya baba yake pia, in contact with him na yeye mwenye ni shombeshombe if she is serious about arguing her case.

Ni hivi huyo binti ni raia wa United Kingdom I was just trying to give a perspective kama kuna rafiki zake humu.

Nonetheless what the bitch does next with her life is not my problem; ila aelewe tu yeye ni raia wa U.K.

Usiku mwema, tushaleta umbea kwenye kadamnasi na kujaribu kumfungua macho muhisika directly or indirectly; mengine yake na mungu wake as far as I am concerned
 
Uraia wa tz unakupa nini unajua faida za kuwa raia wa UK lakini?
wanao jua thamani yake ndio hao wana lilia uraia pacha, na wengine kutoka mataifa mbalimbali wana kuja uchukua... walio baki kama wewe bado mnao kama ngozi ya mwili...
 
wanao jua thamani yake ndio hao wana lilia uraia pacha, na wengine kutoka mataifa mbalimbali wana kuja uchukua... walio baki kama wewe bado mnao kama ngozi ya

wanao jua thamani yake ndio hao wana lilia uraia pacha, na wengine kutoka mataifa mbalimbali wana kuja uchukua... walio baki kama wewe bado mnao kama ngozi ya mwili...
Mataifa yapi wakimbizi? Ebu njoo ulaya afu uje uongee tena nch yetu tunapenda amani tu lakini maslahi tunayapata uku ulaya
 
Mataifa yapi wakimbizi? Ebu njoo ulaya afu uje uongee tena nch yetu tunapenda amani tu lakini maslahi tunayapata uku ulaya
remitt.JPG


hizo kazi mzifanyazo ziwa saidie kutatua matatizo ya ndugu zenu huku tanzania...

togo yenye watu takribani 8M ina tuzidi kutuma pesa... uganda, kenya? huko nje kuna wasaidia pambaneni napo...
 
She’s smarter than what you pieces of shit would believe. Uraia wa Tanzania is obviously more valuable, you fucks!
 
Sasa connection za kubeba whoonga na kudeti na vibopa atapata wapi akienda UK?? Akomae hapa hapa ku explore the height

Sent from my itel A509W using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom