Jackie Cliff ni mwingereza

Mbona unaandika kwa hasira hivyo?una maslahi yeyote ya yeye kupata huo uraia?It's not normal
 
Ni kama unateseka hivi chanzo ni uraia or there is something else?
 
Uraia wa tz unakupa nini unajua faida za kuwa raia wa UK lakini?
wanao jua thamani yake ndio hao wana lilia uraia pacha, na wengine kutoka mataifa mbalimbali wana kuja uchukua... walio baki kama wewe bado mnao kama ngozi ya mwili...
 
wanao jua thamani yake ndio hao wana lilia uraia pacha, na wengine kutoka mataifa mbalimbali wana kuja uchukua... walio baki kama wewe bado mnao kama ngozi ya

wanao jua thamani yake ndio hao wana lilia uraia pacha, na wengine kutoka mataifa mbalimbali wana kuja uchukua... walio baki kama wewe bado mnao kama ngozi ya mwili...
Mataifa yapi wakimbizi? Ebu njoo ulaya afu uje uongee tena nch yetu tunapenda amani tu lakini maslahi tunayapata uku ulaya
 
Mataifa yapi wakimbizi? Ebu njoo ulaya afu uje uongee tena nch yetu tunapenda amani tu lakini maslahi tunayapata uku ulaya

hizo kazi mzifanyazo ziwa saidie kutatua matatizo ya ndugu zenu huku tanzania...

togo yenye watu takribani 8M ina tuzidi kutuma pesa... uganda, kenya? huko nje kuna wasaidia pambaneni napo...
 
She’s smarter than what you pieces of shit would believe. Uraia wa Tanzania is obviously more valuable, you fucks!
 
Sasa connection za kubeba whoonga na kudeti na vibopa atapata wapi akienda UK?? Akomae hapa hapa ku explore the height

Sent from my itel A509W using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…