Ashasema HATOKUBALI KUSHINDWA... ATAKATA RUFAA...Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu ulizaa na mzee angalau mjini na wewe utaonekana sasa hiviView attachment 1792866
Wale madogo bila hata dna ni wa marehemuAshasema HATOKUBALI KUSHINDWA... ATAKATA RUFAA...
Sasa kituo kinachofuata ni DNA za Mapacha na shughuli itakuwa mbuzi kufia sufuriani kwa mama lishe
DNA ni kuchezea pesa bora waiongeze kwenye urithiWale madogo bila hata dna ni wa marehemu
Mzee alimwaga ndani kabisaWale madogo bila hata dna ni wa marehemu
Mawakili wa utetezi hamlaliWale madogo bila hata dna ni wa marehemu
Huyu shopping zake ni Dubai na Turkey huko...hanunui fekero labda kuanzia Sasa baada ya dili la wosia kubumahiyo pochi ni zile za 28,000 au ni OG?
hiyo pochi ni zile za 28,000 au ni OG?
Huyu shopping zake ni Dubai na Turkey huko...hanunui fekero labda kuanzia Sasa baada ya dili la wosia kubuma
Jana umeanzisha uzi ukasema wewe ni mwanaume.shoga
Nakumbuka kabla ya mzee kuanza kuumwa dada nilikuwa namuona Kama Michelle Obama hivi...maana alikuwa matawi hasa!! Sasa hivi amekuwa mswahili haswaHata waliomsupport mwanzo watamchoka. Vijimaneno kila siku
Hiyo ilinunuliwa France mamangu[emoji3][emoji3][emoji3]hiyo pochi ni zile za 28,000 au ni OG?