Jackline Mengi: Nawapenda sana wamachame

Jackline Mengi: Nawapenda sana wamachame

Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu ulizaa na mzee angalau mjini na wewe utaonekana sasa hiviView attachment 1792866
Huyu pepo mchafu anayekuendesha usipomkemea atakusumbua sana
 
Nakumbuka kabla ya mzee kuanza kuumwa dada nilikuwa namuona Kama Michelle Obama hivi...maana alikuwa matawi hasa!! Sasa hivi amekuwa mswahili haswa
Mno mno yani kama kadata vile au alikua anapretend kua classy kipindi yuko na mzee na saiv hayupo anaonesha rangi yake halisi.
 
Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu ulizaa na mzee angalau mjini na wewe utaonekana sasa hiv
 
Mmh shoga kashaona wamachame maji marefu kaamua kujipendekeza mwenyewe yaishe mxieew umaskini mbaya, kaa upate mgawo wako ulee watoto wako, watoto wa mengi sio maskin kama wewe, shukuru Mungu tu ulizaa na mzee angalau mjini na wewe utaonekana sasa hiviView attachment 1792866
Au kama vipi amng'ang'anie yule ambae hajaoa
 
Jana umeanzisha uzi ukasema wewe ni mwanaume.

Leo imekuwaje? [emoji44][emoji44]
Hata Mimi nilitaka nimuulize kwani wewe ni mwanaume au mwanamke Ila nikapotezea,maana samtaimz namfikiria ni mwanaume lkn kuna muda napatwa na maswali na namna ya uandishi wake kwamba mwanaume gani anakuwa na mwandiko wa hivi
 
Waliomshika masikio wapo pembeni wanamchekaaa...tatizo alitaka kulazimisha sikio kuzidi kichwa! Chezea wamachame tena wasomi 😳😳 wacha wewe!
 
Back
Top Bottom