Jackline Mengi: Nawapenda sana wamachame

Huyu pepo mchafu anayekuendesha usipomkemea atakusumbua sana
 
Nakumbuka kabla ya mzee kuanza kuumwa dada nilikuwa namuona Kama Michelle Obama hivi...maana alikuwa matawi hasa!! Sasa hivi amekuwa mswahili haswa
Mno mno yani kama kadata vile au alikua anapretend kua classy kipindi yuko na mzee na saiv hayupo anaonesha rangi yake halisi.
 
 
Au kama vipi amng'ang'anie yule ambae hajaoa
 
Jana umeanzisha uzi ukasema wewe ni mwanaume.

Leo imekuwaje? [emoji44][emoji44]
Hata Mimi nilitaka nimuulize kwani wewe ni mwanaume au mwanamke Ila nikapotezea,maana samtaimz namfikiria ni mwanaume lkn kuna muda napatwa na maswali na namna ya uandishi wake kwamba mwanaume gani anakuwa na mwandiko wa hivi
 
Waliomshika masikio wapo pembeni wanamchekaaa...tatizo alitaka kulazimisha sikio kuzidi kichwa! Chezea wamachame tena wasomi 😳😳 wacha wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…