Jackline Ntuyabaliwe

Jackline Ntuyabaliwe

Uzuri wa sura ama wa kitu gani. Uzuri uko na mambo mengi sio kusema uzuri tu

uSIJIDANGANYE UZURI NI SURA NA UMBO, kama bwana wako ana jidai kakupende ur inner beauty ujue anakudanganya , ameku chukua wewe ili uwe mke wa ndani asiibiwe maana huw atuna sema chagua mke wa zile quality za kumfanya awe ana kaa tu ana asiweze tongozwa na wengine, ikiw ana maana ya kwamba mke asiwe mzuri wa kupindukia ,utatulizwa nyumbani wakatia mumeo ana shinda na vich3eche wenye urembo wa sura na maumbile.
 
kati ya visichana nisivyovipenda hiki ni kimoja wapo...samahani lakini..
 
she is beautiful.. but "most beautiful in the world"!!!:nono::nono::nono:
 
837fe9121e045eb890c4f78dd2de41db.jpg
tumblr_n0vdoq4Inn1t26jm0o1_500_zpsae83898a.jpg
Nomzamo+Mbatha.jpeg
 
Huyu binti ni mzuri kwa anaemuona mzuri wa daraja analo litaka yeye. Kwa kuwa ni mke wa mtu anajiheshimu na mumewe ana jiheshimu inapaswa kuzungumza kiheshima kwani ukitoka nje basi utakuwa si mtu wa heshima na kwa aliyekuzidi mri utakuwa umekosa adabu.
 
Back
Top Bottom