Jackline Ntuyabaliwe

Jackline Ntuyabaliwe

Isis mwenyewe mwanamke
Nafanania na hao nilio waweka. ..hahaha mtu kwao. ..
837fe9121e045eb890c4f78dd2de41db.jpg
 
Dah,wanawake wazuri kweli,hapa inabidi kusogea huko wanakopatikana nichanganye damu,ni ethiopia/kush?
Uki Google AMUN RA. ..utapata maelezo kamili. ..nashukuru sana cognition
 
uSIJIDANGANYE UZURI NI SURA NA UMBO, kama bwana wako ana jidai kakupende ur inner beauty ujue anakudanganya , ameku chukua wewe ili uwe mke wa ndani asiibiwe maana huw atuna sema chagua mke wa zile quality za kumfanya awe ana kaa tu ana asiweze tongozwa na wengine, ikiw ana maana ya kwamba mke asiwe mzuri wa kupindukia ,utatulizwa nyumbani wakatia mumeo ana shinda na vich3eche wenye urembo wa sura na maumbile.
Mwanamke mzuri ana nyota njema. ..ndiyo maana Trump hasikii aelewi kwa wanawake wenye sura nzuri. ...sio umbo bali sura tu!
 
Back
Top Bottom