Jackline Silemu ITV

Yale macho sasa, uwiiiii! Ila ana sauti nzuri jamani tuseme tu ukweli.
Sauti anayo ila mashauzi yamezi,, naonaga km vile anajifunza kz bt c ajifunze kz habari ndogo ndogo kwanza!
 
Anavosoma habari huwa hafanyi body relaxation, anatamka maneno in deep feelings, then anakaza sana sura. I guess yule mdada baada ya habari huwa anapatwa na headache then after a while kinatulia.

Kweli mkuu, anatumia nguvu nyingi mno
 
Sauti anayo ila mashauzi yamezi,, naonaga km vile anajifunza kz bt c ajifunze kz habari ndogo ndogo kwanza!

Haya bwana.Mwenzio ndio anauza sura hivyo.
 
...mwingine wa namna hii na aliyekuwa na mashauzi ya kufa mtu alikuwa ni Suzan George, mwanzoni mwanzoni wakati ITV ndio inaanza anza. Hivi aliendaga wapi yule bidada?
 
Hata ivo mie nahic yule ni ndugu na mkurugenzi, maana cheo kimempanda fasta akati alikuwa ni reporter wa kipima joto kitaani!

Hata nilikua sijawahi kumtilia maanani kabla ya kumuona studio akisoma habari.
 
Hata nilikua sijawahi kumtilia maanani kabla ya kumuona studio akisoma habari.

#Nifah , Jaribu kumfatilia kuanzia kesho endapo atasoma habari then zingatia tulokwambia je tunamwongopea? Mdada anasoma habari kwa nguvu na hisia mpaka mishipa ya shingo na usoni inamcmama, duh si hatari hii! By the way mie kitambo nilikuwa namkosoa hadi home wakaanza kusema eti namchukia tu, but the reality is there... Prove it yourself! Au ingia.. www.youtube.com/itvtanzania
 
Anavosoma habari huwa hafanyi body relaxation, anatamka maneno in deep feelings, then anakaza sana sura. I guess yule mdada baada ya habari huwa anapatwa na headache then after a while kinatulia.

Hilo la kukaza sura nilizani nimeliona peke yangu,
Hivi wahusika wanaoandaa kipindi hawamuoni kuwa huyu binti ha-fit kusoma habari?
 
Sauti anayo ila mashauzi yamezi,, naonaga km vile anajifunza kz bt c ajifunze kz habari ndogo ndogo kwanza!

Kama yuko field wampeleke kwenye kipindi cha watoto wetu akacheze na watoto mpaka atoshe kusoma habari.
 
Yale macho sasa, uwiiiii! Ila ana sauti nzuri jamani tuseme tu ukweli.

Kwenye tv muonekano ndio tija kuu then ndio sauti inafuatia, ni eye then ear.
Sasa kama yeye anaanzia kunogesha kwenye ear wampeleke radio one tuwe tunamskia tu.
 
Oh,ahsante mkuu.Nitafanya hivyo...
Ila..., ah! Basi tu..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…