Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapozi yamezidi.... Mpaka anaudhi
Sauti anayo ila mashauzi yamezi,, naonaga km vile anajifunza kz bt c ajifunze kz habari ndogo ndogo kwanza!
Hahahaaa! Jamani. ....
Hata ivo mie nahic yule ni ndugu na mkurugenzi, maana cheo kimempanda fasta akati alikuwa ni reporter wa kipima joto kitaani!
Hata nilikua sijawahi kumtilia maanani kabla ya kumuona studio akisoma habari.
Anavosoma habari huwa hafanyi body relaxation, anatamka maneno in deep feelings, then anakaza sana sura. I guess yule mdada baada ya habari huwa anapatwa na headache then after a while kinatulia.
Sauti anayo ila mashauzi yamezi,, naonaga km vile anajifunza kz bt c ajifunze kz habari ndogo ndogo kwanza!
Yale macho sasa, uwiiiii! Ila ana sauti nzuri jamani tuseme tu ukweli.
#Nifah , Jaribu kumfatilia kuanzia kesho endapo atasoma habari then zingatia tulokwambia je tunamwongopea? Mdada anasoma habari kwa nguvu na hisia mpaka mishipa ya shingo na usoni inamcmama, duh si hatari hii! By the way mie kitambo nilikuwa namkosoa hadi home wakaanza kusema eti namchukia tu, but the reality is there... Prove it yourself! Au ingia.. www.youtube.com/itvtanzania