Jackline Silemu ITV

Ukiangalia YouTube taarifa za habari zinazoonekana ni za miaka minne iliyopita!
 
seriously siupendi kabisa utangazji wa huyu dada anajikaza mno na kubinua midomo, kimsingi hafit kutangaza habari
 
Mwe! ka jack silemu kalikuwa form4 wakat m nipo form5 na tatzo pia inaweza kuwa course alyosomea pia coz hajasomea mass com so probably bado anastrugle kuadopt training
 
Hata ivo mie nahic yule ni ndugu na mkurugenzi, maana cheo kimempanda fasta akati alikuwa ni reporter wa kipima joto kitaani!

Ni zaid ya undugu, I know jack kuanzia secondary na chuo tukasoma kimoja yan kasomea ki2 tofaut kabsa na nmeshangaa ss hv n m2 mkubwa ghafla namna hyo kwny kituo kikubwa km ITV mmhh ana kismat balaa
 
Yule dada anaonekan mshari flan hiv, ana mapozi ya kishambenga flani hivi uson

Hana hta pozi huyu bint wa kichaga kwa tuliokua nae tunamjua vzur, sema ni changamoto2 za field mpya anayokutana nayo kwa ss akizoea ataachaa coz hajasomea utangazaj kabsaa hahahh na ndo hvo kina ufosaro bado wanahangaika na vipima joto jack yy kapitliza moja kwa moja runingan
 
Pole kwa wivu kama ww ni ke amekuzidi uzr kama ww ni me umekataliwa bas hakuna lingine uck mwema
 
Ata mi huyu dada huwa naona anamapungufu meng tu anapotangaza anamapoz sana yan si mtangazaji mzur havutii yan anajiona anajua kutangaza kumbe hamna kitu
 
Actually mie ninapomtazama kwenye Habari huwa nakaa mkao wa kukimbia maana utadhani nyati anaetaka kukurukia out of the screen into your living room . Very user unfriendly.
 
Ni zaid ya undugu, I know jack kuanzia secondary na chuo tukasoma kimoja yan kasomea ki2 tofaut kabsa na nmeshangaa ss hv n m2 mkubwa ghafla namna hyo kwny kituo kikubwa km ITV mmhh ana kismat balaa

kwani Ana cheo gani hapo ITV?

.
 
Ata mi huyu dada huwa naona anamapungufu meng tu anapotangaza anamapoz sana yan si mtangazaji mzur havutii yan anajiona anajua kutangaza kumbe hamna kitu

Ile ni tatizo la over confidence
 
Ni zaid ya undugu, I know jack kuanzia secondary na chuo tukasoma kimoja yan kasomea ki2 tofaut kabsa na nmeshangaa ss hv n m2 mkubwa ghafla namna hyo kwny kituo kikubwa km ITV mmhh ana kismat balaa

Hebu ni jibu haya maswali mkuu!

Joyce ana elimu gani?
Mwavile ni mchagga?
Una uhakika hafai hicho cheo kama kweli amepewa? Una hakika mtangazaji mzuri au kiongozi mzuri kwenye media lazima asomee mass communications?

Mkuu naomba ujibu maswali hayo kama hutojali!

Kwangu Mimi ni mtangazaji mzuri na ana nivutia sana na huo ndio aina yake ya utangazaji maana wala hakosei!
 
mi mdomo tu anavouweka wakati akiwa anaongea ndo ananishangaza...kuanzia leo fuatilieni mdomo wake anavoubinua utadhani anasuta watazamaji

Umewai kujiuliza labda ndivyo alivyo akiwa anaongea?
 
Yale macho sasa, uwiiiii! Ila ana sauti nzuri jamani tuseme tu ukweli.

Lembez nifah i concur with you... ana sauti nzuri na ninapenda aina ya utangazaji wake sana
 
Last edited by a moderator:
Hivi ITV hawaoni mapungufu ya huyu dada? Bora mumrudie Godwin kila siku!

Jana ndo nimemuangalia viziri, yaani mdomo anavyoufanya. Duh kweli utangazaji kazi!

Amezidisha mapozi lakini
 
Ata mi huyu dada huwa naona anamapungufu meng tu anapotangaza anamapoz sana yan si mtangazaji mzur havutii yan anajiona anajua kutangaza kumbe hamna kitu

Mkuu una hakika gani ana jiona? una hakika gani hayo ni mapozi? kwanini usifikirie ndivyo alivyo? umewapata wasaha wakumsikia Wema akiongea?
 
Umenichekesha aise. Ila kweli jamani, she is so 'user unfriendly'. Ni kama anatusuta watazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…