Jackline Silemu ITV

Kwani anashida gani ?! Mbona yupo safi tu ! Acheni wivuuu.
 
mi mdomo tu anavouweka wakati akiwa anaongea ndo ananishangaza...kuanzia leo fuatilieni mdomo wake anavoubinua utadhani anasuta watazamaji

Kweli kabisaaaa kuna siku nilimuona nikasema huyu dada ana matatizo ya mdomo amaaa.mbona anasoma habari kama anamsuta mtu...duuhh atakua ana matatizo fulani kisaikolojia labda anaamini akisoma kwa pozi hizo ndo anapendeza
 
Ni maumbile tuu
 
Yaaani huyu utangazaji wake ni kama anatusuta watazanaji mweee..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…