Jackline Silemu ITV

Jackline Silemu ITV

wabongo kweli sio watu!! wakati ana report wakadai ohooo anabaniwa sura ile inatakiwa kuwa studio kwa usomaji wa taarifa ya habari, kuwa chiku liweno anatisha hasa akivaa yale mawani yake!! leo amepewa mala kama anawasuta watazamaji!!! kazi kweli kweli, kuwa hiyo kazi za kureport amwachie komandoo suzy(UFO SALO)!! Kuwa mtoto laini kama selem hazimfai!!anatakiwa kusoma habari tu, hizo nyingine wanaziweza kina komandoo kipensi(SAMU MAHELA) NA GEORGE MARATOO WA ITVIIIIIIIIIII!!!!

Hahahahahaaa jf raha sn,ya kwamba komandoo suzy na komandoo kipensi. Duh.....nimeanza siku kwa furaha.
 
mi mdomo tu anavouweka wakati akiwa anaongea ndo ananishangaza...kuanzia leo fuatilieni mdomo wake anavoubinua utadhani anasuta watazamaji

Hahaaaa kila siku nilikua nagombana na wife kuhusu huyu dada jinsi anavyofanya domo lake wakati akitangaza yaani sijui domo anawekaje mpaka domo linaonekana kubwa(pana) kuliko uhalisia kama anakula chapati bila kukunja!!!wife anasemaga nina chuki binafsi!!!
 
siamini na sitaki kuamini kwamba great thinkers mnatumika kwa maslahi ya mtu/watu.Ukifuatilia kwa umakini thread hii utaelewa namaanisha nini.
 
Naomba iletwe tread ya kujua nani mwenye mapozi zaidi kati ya Jackline wa ITV na Ivona Kamuntu wa Star Tv

Sauti anayo ila mashauzi yamezi,, naonaga km vile anajifunza kz
 
Hahaaaa kila siku nilikua nagombana na wife kuhusu huyu dada jinsi anavyofanya domo lake wakati akitangaza yaani sijui domo anawekaje mpaka domo linaonekana kubwa(pana) kuliko uhalisia kama anakula chapati bila kukunja!!!wife anasemaga nina chuki binafsi!!!

Mmekuwa mabingwa wa kutana as if mmeumbwa na ukamilifu
 
Hahaaaa kila siku nilikua nagombana na wife kuhusu huyu dada jinsi anavyofanya domo lake wakati akitangaza yaani sijui domo anawekaje mpaka domo linaonekana kubwa(pana) kuliko uhalisia kama anakula chapati bila kukunja!!!wife anasemaga nina chuki binafsi!!!

daah dume zima unagombana na mkeo kuhusu mtangazaji ambae yeye hana habari na wewe anapiga kazi ana ingiza siku ha ha ha halafu unaona ufahari kuandika jf kua mkeo anaku chana una chuki za ki bwe.ge teh teh teh le gadem mburulaz kwi kwi kwi...."stop killing albinos they deserve to live"

wachawi wa jf mko wengi

cc: Deo Corleone
 
Last edited by a moderator:

Uyu dada yupo chini ya kiwango km vp aongeze shule au afanye mazoezi yakutosha otherwise habari inakua km ya Watoto show!
 
Last edited by a moderator:
daah dume zima unagombana na mkeo kuhusu mtangazaji ambae yeye hana habari na wewe anapiga kazi ana ingiza siku ha ha ha halafu unaona ufahari kuandika jf kua mkeo anaku chana una chuki za ki bwe.ge teh teh teh le gadem mburulaz kwi kwi kwi...."stop killing albinos they deserve to live"

wachawi wa jf mko wengi

cc: Deo Corleone

Kwi.kwi kwi kwiiiii!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa huyu mtangazaji wamembadilisha toka jana maana anatusuta sana watazamaji...bado joooniiiiii maratoooooooooooo
 
...Shukurani sana 'mpiga kinanda a.k.a Pianist na wengine wote mlionirekebisha katika hili. Nilikuwa namaanisha Laura George. Bidada alikuwa na mashauzi ya kufa mtu! Aliishiaga wapi?
 
Yupo mashauzi classic
 
Huyu binti anabetua sana mdomo anaposoma habari sijajua ni pozi au ndo alivo lo!
 
Aisee mmemsababisha dada wa watu akose confidence kabisa yani anaonekana live anaweweseka hajui aweke pozi gani
 
Mimi naona tutoe ushauri wa kumjenga huyo bint, bado si mzoefu , wengine hapa makazini kwao wanaboronga, ila kwa sababu hawaonekani inabaki kuwa siri ya ofisi.
Jaq piga kazi chukua maoni yaliyo mazuri yafanyie kazi.
 
Back
Top Bottom