Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Nielewesheni tafadhali,imekuaje mpaka watu wakaamua kusema hivi?Ananuka k
Wasemavyo wapita njia!Nielewesheni tafadhali,imekuaje mpaka watu wakaamua kusema hivi?
Hahaaa....ndo maana naipenda JF..Anatafuta kukubalika upya kaona upara ngoto hana mvuto
Alitaka abebwe na mbelekoapeleke hiyo harufu yake huko Lumumba
Msanii wa Bongo movie amedai yeye hana Chama ila anamkubali Lowassa na alikuwa akimkubali tokea akiwa CCM na 2020 atamsapoti tena.
Amesema yeye hakua Chadema na wala sio CCM
nasubiri na mimi majibu mkuu wakikujibu utanishitua.Kwani CHADEMA wameshapitisha na kuthibitisha jina la mgombea urais mwaka 2020?!
Yaliwakuta!Nielewesheni tafadhali,imekuaje mpaka watu wakaamua kusema hivi?
ha ha ha hakwa hiyo chadema wamesha mpitisha Lowasa?