Jackline Wolper : 2020 nitamuunga tena mkono Lowassa

Sasa cha ajabu nini hapo? Huyo Jina lake kamili ni Jackline Wolper Masawe, sasa ni lini uliona Masawe akampigia kura mtu asiyetoka KLM?
Lowasa anatoka KLM? Hii ni zaidi ya makinikia
 
Ukienda ccm nisawa kwendakuzimu anatafuta msaada kuludi peponi huyo
 
Mh wamemfanya nini Mrs k kunuka?
Wa Tanzania tunajivika Roho ya Chuki, Kupenda mabaya Kwa wenzetu na kuto kusitiri Utu wa watu wetu.

Kesho mkisikia wa Africa wana tukanwa Kwa Ujumla wao, mtasema Ubaguzi wa Rangi.

Hakuna ubaya wowote alio ifanyia CHADEMA, na Milango ipo wazi. Uchama si kutojali Utu na Utaifa wetu.
 
Umalaya wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…