Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda sana ukabila na ubaguzi hufai na kaburu mweusi.Sasa cha ajabu nini hapo? Huyo Jina lake kamili ni Jackline Wolper Masawe, sasa ni lini uliona Masawe akampigia kura mtu asiyetoka KLM?
Lowassa katokea huko?Sasa cha ajabu nini hapo? Huyo Jina lake kamili ni Jackline Wolper Masawe, sasa ni lini uliona Masawe akampigia kura mtu asiyetoka KLM?
hahahaha Mbowe asubiri huo mzigo bila kujali harufu pua ataiziba kwa muda.apeleke hiyo harufu yake huko Lumumba
Lowasa anatoka KLM? Hii ni zaidi ya makinikiaSasa cha ajabu nini hapo? Huyo Jina lake kamili ni Jackline Wolper Masawe, sasa ni lini uliona Masawe akampigia kura mtu asiyetoka KLM?
Huyu Wolper anamfaa Kinana ajipoze huko kizuizini mlipomfungia.hahahaha Mbowe asubiri huo mzigo bila kujali harufu pua ataiziba kwa muda.
Kwahiyo akina Masawe kutokana na uelewa wao mpana wa kuchanganua mambo wameamua kuitosa ccm mazima?Sasa cha ajabu nini hapo? Huyo Jina lake kamili ni Jackline Wolper Masawe, sasa ni lini uliona Masawe akampigia kura mtu asiyetoka KLM?
Wa Tanzania tunajivika Roho ya Chuki, Kupenda mabaya Kwa wenzetu na kuto kusitiri Utu wa watu wetu.Mh wamemfanya nini Mrs k kunuka?
Umalaya wa kisiasaWa Tanzania tunajivika Roho ya Chuki, Kupenda mabaya Kwa wenzetu na kuto kusitiri Utu wa watu wetu.
Kesho mkisikia wa Africa wana tukanwa Kwa Ujumla wao, mtasema Ubaguzi wa Rangi.
Hakuna ubaya wowote alio ifanyia CHADEMA, na Milango ipo wazi. Uchama si kutojali Utu na Utaifa wetu.
Ushamba wa MawazoUmalaya wa kisiasa
Chumvichumvi, malizia kusema mama, wala usiogope, sema.Huyu nae ndo maana ana......
Chumvichumvi, malizia kusema mama, wala usiogope, sema.Huyu nae ndo maana ana......