jackline wolper arudi kanisani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Star anayefanya vyema bongo movie na kwenye magazeti ya udaku,jackline wolper, amerudi kwenye imani yake ya awali ya kikristo baada ya miezi michache kutangaza kuwa muislamu."Nimeamua kurudia ukristo kwa kuwa wazazi wangu kwa muda mrefu walikataa mimi kuwa muislamu,kwa hiyo kuanzia sasa siyo ILHAM tena,niite kama zamani jackline wolper",Alisema wolper.Wolper mwaka jana alitangaza kubadili dini kumfuata aliyekuw mwandani wake jamaa mmoja anafahamika kwa jina la Abdalah mtoro (dallas),hata hivyo mahusiano yao hayakudumu sana wakaachana, na wolper aliapa kuendelea na imani yake hiyo mpya hata hat kama ameachana na dallas.
 
Aaah wanawake wafanyabiashara wana mambo, hawabadiri sababu ya imani ni kwasababu ya fedha ama maslahi tu, kamwe sio imani.
 
dalas ambaye alikuwa bwana wa wolper kachoka vibaya mno anapanda bodaboda na kushinda vijiweni huyu jamaa alifanya kufuru sana alipokuwa na mkwanja.
 
Sasa we ulitaka arudi kwako........................
 
Bongo muvh wanaigiza kila kitu hadi dini. Ila akae akijua pale dalas alpokuwa anachumisha mboga alikua haigizi alikua anagonga kweli.
 
Wanawake siku zote ni waJasiriamali. Wapo kwaajili ya maslahi.

Wapo tayari kuwakana hata wazazi wao kisa pesa.

Ndio maana nasema, akili ya mwanamke haina tofauti na mtoto mdogo. Vichwa vyao vinawatosha wenyewe tu.
 
Makubwa alisema yeye alikuwa anaupenda uislam tangu mdogo na hata rudi ukristu
 
eehh mungu wangu msamehe alichofanya
tusichezee imani jamanii
 
alikorudi hawaruhusu maasi

Nadhani inaruhusu maasi kwa mtazamo na maneno aliyotamka wolper maana alisema kuna mambo mengi huko alikokuwa hayapati,kwa mfano kwenda club,kunywa pombe,kwenda disco na hata kuvaa vimini,sa je sio kunakoruhusu maasi huko??
 
Kila mtu aheshimu dini ya mwenzake bhana,hakuna dini inayohamasisha maasi,nyie ya kwenu tukiyafichua apa,tutajaz server bila sababu yeyote ile
 
dalas ambaye alikuwa bwana wa wolper kachoka vibaya mno anapanda bodaboda na kushinda vijiweni huyu jamaa alifanya kufuru sana alipokuwa na mkwanja.

Dallaz huyu ni yule aliyekuwa anaimba imba au?
 
huyo jamaa anayesema eti amerudi wanako ruhusu maasi nadhali akili yake ni kb 10,aache dharau.kwani ya kwao inaruhusu maasi? km hairuhusu ajue hakuna dini inayoruhusu maasi ila tu mapungufu ya mwanadamu kwa mola wake. nadhani nimempatia uwezo wa kuelewa kidogo, kwa hiyp ana mb 526 sasa
 
Dallaz huyu ni yule aliyekuwa anaimba imba au?

dallas si muimbaji ni mtu tu wa kawaida aligeuka pedeshee aka bosi mtoto baada ya kuvuta mkwanja sehemu nahisi ngada alikuwa na mil 700 account bank akamnunulia wolper BMW washkaji kitaa wakimpiga mzinga wa laki anatoa laki 2 sasa ivi kachoka mbaya yupo yupo tu hata baiskeli hana.
 

Dah majanga.
 
kwahiyo bar zote wateja wake ni wakristo? club zote wanajaa wakristo? wanaovaa vimini wote wakristo?



Nadhani inaruhusu maasi kwa mtazamo na maneno aliyotamka wolper maana alisema kuna mambo mengi huko alikokuwa hayapati,kwa mfano kwenda club,kunywa pombe,kwenda disco na hata kuvaa vimini,sa je sio kunakoruhusu maasi huko??
 
Ww sema tu ulifuata salio sio ulifuata imani nymbfuuuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…