warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Star anayefanya vyema bongo movie na kwenye magazeti ya udaku,jackline wolper, amerudi kwenye imani yake ya awali ya kikristo baada ya miezi michache kutangaza kuwa muislamu."Nimeamua kurudia ukristo kwa kuwa wazazi wangu kwa muda mrefu walikataa mimi kuwa muislamu,kwa hiyo kuanzia sasa siyo ILHAM tena,niite kama zamani jackline wolper",Alisema wolper.Wolper mwaka jana alitangaza kubadili dini kumfuata aliyekuw mwandani wake jamaa mmoja anafahamika kwa jina la Abdalah mtoro (dallas),hata hivyo mahusiano yao hayakudumu sana wakaachana, na wolper aliapa kuendelea na imani yake hiyo mpya hata hat kama ameachana na dallas.