jackline wolper arudi kanisani

jackline wolper arudi kanisani

najua jack wolper amemisi kwenda kula Christmas kule Moshi mpaka basi.
chezea madufu weye....
 
Wanawake siku zote ni waJasiriamali. Wapo kwaajili ya maslahi.

Wapo tayari kuwakana hata wazazi wao kisa pesa.

Ndio maana nasema, akili ya mwanamke haina tofauti na mtoto mdogo. Vichwa vyao vinawatosha wenyewe tu.
. Heri wao wenye akili kama za watoto wadogo. Kuliko wenzao wanaodiriki kubaka vichaa na kuwazalisha. Sijawahi sikia hawa wenye akili km watoto wadogo wamezaa na vichaa
 
Alikua ni muislamu jina tu! Hakua mfuasi wa misingi na mafundisho ya kiislam.
 
Wanawake siku zote ni waJasiriamali. Wapo kwaajili ya maslahi.

Wapo tayari kuwakana hata wazazi wao kisa pesa.

Ndio maana nasema, akili ya mwanamke haina tofauti na mtoto mdogo. Vichwa vyao vinawatosha wenyewe tu.

Kua na heshma mzee. You cant generalize ur statements...hsps ameongelewa wolprr imekuaje tena wanawake wote..!
 
Kila mtu aheshimu dini ya mwenzake bhana,hakuna dini inayohamasisha maasi,nyie ya kwenu tukiyafichua apa,tutajaz server bila sababu yeyote ile
Huna lolote..! Unatishis nyau si useme.??
 
Wolper, kumar haiuzwi wala hainunuliwi, ona ulivyoaibika sasa
 
merRy ChRiSsMaSSS jack wolper jack wolper.jpg
 
Back
Top Bottom