[emoji106]RUM. :10:13
kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka.
Namtakia maisha mema ya wokovu kwa maana amechagua fungu lililo jema
Oh oo oo!!!Huyu haelewiki ashabadili kuwa muislam yaani hapa mpe miezi miwili apate danga la kiarabu litangaze nia nakwambia ataitwa chausiku na shungi kubwa
Hapana kwa wacheza ndomboro ndio kuna mfaa huyupepo ya mitombo ndo inamuhusu
Aiseekuishiwa sio mpaka uishiwe pesa hata strategies za kiki unaweza kuishiwa!
BONGO MOVIEBongo movie maigizo kila kona. Ona hapa shamsa ndoa ishaanza mshindaView attachment 900990
HaleluyahWokovu ni wetu sote bi shosti, na wokovu ni kwa neema tu
Naona neema imemshukia pia na Mungu aendelee kumuongoza
We Acha kupaniki Acha watoto wa watu waokokeUsanii hata kumsaiinia Mungu!! usilikejeli jina la Bwana .
2 Petro 3:3 Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe,
Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Ukiwa wa Kristo hata watu watakushuhudia matendo na imani vitaendana. Petro alijifanya mjanja wa kumkana lakini hakuweza maana alifanana Naye
Jomoon mwachen dada wa watu aokokeHapana kwa wacheza ndomboro ndio kuna mfaa huyu
HaleluyahBali Atakae Vumilia Mpaka Mwisho Ndiye Atakaeokoka
Uuuwi jomoonTangu ahamie ccm kila anachojaribu anafail, kwa sasa anatapatapa tu, na ccm used them and dumped them.
Uuuwi hahahahakichaa haponi ni suala la muda tu