Jackline Wolper asema ameokoka sasa, anaenda mbinguni

Jackline Wolper asema ameokoka sasa, anaenda mbinguni

Usanii hata kumsaiinia Mungu!! usilikejeli jina la Bwana .

2 Petro 3:3 Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe,

Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Ukiwa wa Kristo hata watu watakushuhudia matendo na imani vitaendana. Petro alijifanya mjanja wa kumkana lakini hakuweza maana alifanana Naye
We Acha kupaniki Acha watoto wa watu waokoke
 
Back
Top Bottom