Pete ya kuvalishana bar?? Bado hajatupata akii, mxieuwwww!!!!
No wazazi wa mume wala wa muke mmh!! Mabwakuuu...na yule wife wake kamuacha au ? Wolper ndio
Ahahahahaha..... So she was crying.!! My lord, machozi ya mamba!
Hatari.
Kwa picha niliyoipata kwa muonekano wa hilo tukio it was a surprise, hivyo sio ajabu kwake yeye kulia.
Hata kama ningekua mimi ningelia tu, kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume umpendaye raha sana.
Teh teh.., .., nikae kimya tu.
Lazima ukae kimya tu maana huna hoja.
Ni wendawazimu kumshangaa anayelia kisa kavishwa pete, siri ya KILIO anayo yeye.
Teh teh.., .., nikae kimya tu.
Kila la kheri Jack, Mungu aulinde uchumba wenu ulete ndoa na ndoa ilete matunda mema (watoto) na muishi maisha marefu.
Sasa ka siri anayo yeye mbona ushamsemea.??
Analia kujishaua tu , wolper hanaga mapenz na wanaume hata siku moja ye wake mademu ...ebu msinifanye niropoke mie nikaaribu uchumba wa mtu...ahhah
Kwa nini wasichama wengi wanapovalishwa pete wanamwaga machozi?
Hapana binamu, anaweza kuwa hakuwahi kuwa na mapenzi hapo kabla lakini sasa hivi anayo kwa huyu mchumba wake mpya.