Jackline Wolper kavishwa pete ya uchumba

Jackline Wolper kavishwa pete ya uchumba

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Jackline wolper jana alivishwa pete ya uchumba.Tumuombee safari ifike salama mwisho isije ikaishia njiani kama ile maana mpaka dini alibadilisha picha zinajieleza.

Wambea wenzangu mpo
 
Attachments

  • 1441263128363.jpg
    1441263128363.jpg
    40.2 KB · Views: 2,913
  • 1441263143641.jpg
    1441263143641.jpg
    52.1 KB · Views: 2,870
  • 1441263164070.jpg
    1441263164070.jpg
    61.4 KB · Views: 2,937
  • 1441263184210.jpg
    1441263184210.jpg
    44.5 KB · Views: 2,789
Kila la kheri Jack, Mungu aulinde uchumba wenu ulete ndoa na ndoa ilete matunda mema (watoto) na muishi maisha marefu.
 
No wazazi wa mume wala wa muke mmh!! Mabwakuuu...na yule wife wake kamuacha au ? Wolper ndio

Wife wa nani binamu? Huyo jamaa sina habari zake hata!
 
Ahahahahaha..... So she was crying.!! My lord, machozi ya mamba!

Hatari.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hili jukwaa limekosa ubuyu siku hizi! Au ndo mambo ya Uchaguzi? Cc. warumi
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahaha..... So she was crying.!! My lord, machozi ya mamba!

Hatari.

Kwa picha niliyoipata kwa muonekano wa hilo tukio it was a surprise, hivyo sio ajabu kwake yeye kulia.
Hata kama ningekua mimi ningelia tu, kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume umpendaye raha sana.
 
Kwa picha niliyoipata kwa muonekano wa hilo tukio it was a surprise, hivyo sio ajabu kwake yeye kulia.
Hata kama ningekua mimi ningelia tu, kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume umpendaye raha sana.

Teh teh.., .., nikae kimya tu.
 
Teh teh.., .., nikae kimya tu.

Lazima ukae kimya tu maana huna hoja.
Ni wendawazimu kumshangaa anayelia kisa kavishwa pete, siri ya KILIO anayo yeye.
 
Lazima ukae kimya tu maana huna hoja.
Ni wendawazimu kumshangaa anayelia kisa kavishwa pete, siri ya KILIO anayo yeye.

Sasa ka siri anayo yeye mbona ushamsemea.??
 
Teh teh.., .., nikae kimya tu.

Mmh ila wamependezana lakin... kwa hyo shoga wolper siasa ndo basi tena?? Ahahah sitak mie maana alivyokuwa busy na lowasa mmh haya ndoa hyo aache kutanga tanga
 
Kila la kheri Jack, Mungu aulinde uchumba wenu ulete ndoa na ndoa ilete matunda mema (watoto) na muishi maisha marefu.

Siku hiz ukivalishwa pete popote ushakuw mchumba?? Mhh hapana kwa kwel
 
Hongera Wolper. Nawatakia kila la kheri kwenye hiyo safari
 
Sasa ka siri anayo yeye mbona ushamsemea.??

Mwanzo niliongelea suala na kulia kwakua hiyo ni surprise na nikasema hata ningekua mimi pia NINGELIA.
Hivyo sio ajabu kwake yeye kulia....
 
Kwa nini wasichama wengi wanapovalishwa pete wanamwaga machozi?
 
Analia kujishaua tu , wolper hanaga mapenz na wanaume hata siku moja ye wake mademu ...ebu msinifanye niropoke mie nikaaribu uchumba wa mtu...ahhah

Hapana binamu, anaweza kuwa hakuwahi kuwa na mapenzi hapo kabla lakini sasa hivi anayo kwa huyu mchumba wake mpya.
 
Hapana binamu, anaweza kuwa hakuwahi kuwa na mapenzi hapo kabla lakini sasa hivi anayo kwa huyu mchumba wake mpya.

Mmh umewah kumuona wolper kwenye anga zake binamu? Yan mwanaume mtupu ana swagg za kisera hatar...
 
Back
Top Bottom