Jackline Wolper kavishwa pete ya uchumba

Binamu acha hizo bwana, ila jamaa anaonekana ana mawe kiasi fulani.
Kila siku alikua anamficha tumeshamuona.



hahaha eti mawe , mbele ya mawe pete unaweza ikubali hata kwenye daladala aisee chezea haya maisha
 
Ahahaha mwenzangu uwiiii!!! Warumi nilivyombea mpaka nimeshasahau na sheria ya cyber akii...mmh binamu we acha nina mengi hatar...ngoja niandae ubuy nije pm

Njoo binamu nakusubiri maana nimemiss ubuyu sana.
Siku hizi ni Lowassa tu ndio habari ya mujini.
 
warumi ucnisahau na mm pm kunipa ubuyu huo
 
Last edited by a moderator:
hivi kweli wabongo muvi wanafaa kuwa wake?! ..........
 
Mmh!!! Jamaa anaujasiri maana hao wanawake wa bongomove mapenzi yao huwa ngawira mbele.
 
Wolper anaonekana kabadilika kabisa hata mavazi asukaji wake pia nahis stress pia zilichangia by the way mchumba ake mzuri pia yuko aged naona atakuwa ana malengo mazuri
 
Babu wee uzunguuuuuuuu

Raha ya pete utolewe mahari uvishwe na wazazi wakishuhudia.....

Mambo ya uchumba kushuhudiwa na marafiki nani anataka????



Pete ya kuvalishana bar?? Bado hajatupata akii, mxieuwwww!!!!

No wazazi wa mume wala wa muke mmh!! Mabwakuuu...na yule wife wake kamuacha au ? Wolper ndio
 
Hongera sana Mdada mabadiliko.
CDM imeanza kuibadilisha safari yako ya maendeleo na mwngineyooo....
Tena Hongera sana
 
No wazazi wa mume wala wa muke mmh!! Mabwakuuu...na yule wife wake kamuacha au ? Wolper ndio

Kidoleni mwanaume anapete ya ndoa.
Nipe umbea warumi
 
nimo sana naupenda sana umbeya wa insta sana nahamia humuu nahis mpaka niandae wakili wangu warumi
 
Last edited by a moderator:
Kidoleni mwanaume anapete ya ndoa.
Nipe umbea warumi

Mwenzangu ndo nahangaika hapa kupekua file la huyo bwana ake soon ntarud na umbea kamil...kam kutu cybercrime wanikamate tu kwa kwel umbea siachi ngooo
 
nimo sana naupenda sana umbeya wa insta sana nahamia humuu nahis mpaka niandae wakili wangu warumi

Karibu mchungaji...mi mwenyewe napenda umbea kiama...wanikamate tu ila umbea siachi ngooo
 
Last edited by a moderator:
Kwani ni nini mkuu?

Mmh nilisikia wolper kitasa sijui kwel au umbea maana wambea na sisi tun mengi akii kma wachawi ahahah uwiii...hatimaye wolper anaolewa mmh tutaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…