Mhhhh! Yetu macho binamuMmh nilisikia wolper kitasa sijui kwel au umbea maana wambea na sisi tun mengi akii kma wachawi ahahah uwiii...hatimaye wolper anaolewa mmh tutaona
Hongera Wolper. Nawatakia kila la kheri kwenye hiyo safari
Jamaa kama mevaa pete ya ndoa naona, au siku hizi wanaume nao huvaa pete ya uchumba? Samahani nauliza tu mie sijafanyaga haya maroroso siku hizo tulimaanisha ndoa sio ujingaujinga wa siku hizi
hao wanaweza kuwa wapo locationJamaa kama mevaa pete ya ndoa naona, au siku hizi wanaume nao huvaa pete ya uchumba? Samahani nauliza tu mie sijafanyaga haya maroroso siku hizo tulimaanisha ndoa sio ujingaujinga wa siku hizi
Jamaa kama mevaa pete ya ndoa naona, au siku hizi wanaume nao huvaa pete ya uchumba? Samahani nauliza tu mie sijafanyaga haya maroroso siku hizo tulimaanisha ndoa sio ujingaujinga wa siku hizi
, wajibu na hili... "Wolper alilia hapo ili iweje" ? Yani how? Why?
Hii nimeiona mahali..
Kwa nini wasichama wengi wanapovalishwa pete wanamwaga machozi?
Hii nimeiona mahali..
Kwa nini wasichama wengi wanapovalishwa pete wanamwaga machozi?
Hiyo avatar nlikusahau
Teheeeee hiyo CDM ndo imemletea maendeleo ya kuvishwa pete na mume wa mtu?tena mwenye ndoa ya kanisan??Hongera sana Mdada mabadiliko.
CDM imeanza kuibadilisha safari yako ya maendeleo na mwngineyooo....
Tena Hongera sana