Jackline Wolper kavishwa pete ya uchumba

Jackline Wolper kavishwa pete ya uchumba

Mmh nilisikia wolper kitasa sijui kwel au umbea maana wambea na sisi tun mengi akii kma wachawi ahahah uwiii...hatimaye wolper anaolewa mmh tutaona
Mhhhh! Yetu macho binamu
 
Hongera Wolper. Nawatakia kila la kheri kwenye hiyo safari

Jamaa kama mevaa pete ya ndoa naona, au siku hizi wanaume nao huvaa pete ya uchumba? Samahani nauliza tu mie sijafanyaga haya maroroso siku hizo tulimaanisha ndoa sio ujingaujinga wa siku hizi
 
Jamaa kama mevaa pete ya ndoa naona, au siku hizi wanaume nao huvaa pete ya uchumba? Samahani nauliza tu mie sijafanyaga haya maroroso siku hizo tulimaanisha ndoa sio ujingaujinga wa siku hizi

Kuna pete za uchumba za wanaume siku hizi!!nami nataka nkuvalishe niwe mke mdogo jamani!!
 
Jamaa kama mevaa pete ya ndoa naona, au siku hizi wanaume nao huvaa pete ya uchumba? Samahani nauliza tu mie sijafanyaga haya maroroso siku hizo tulimaanisha ndoa sio ujingaujinga wa siku hizi
hao wanaweza kuwa wapo location
 
Jamaa kama mevaa pete ya ndoa naona, au siku hizi wanaume nao huvaa pete ya uchumba? Samahani nauliza tu mie sijafanyaga haya maroroso siku hizo tulimaanisha ndoa sio ujingaujinga wa siku hizi

Sio pete ya ndoa..kuvaa pete mtu yoyote anaweza kuvaa..watu wanatafuta maneno tu ..cheki hiyo pete hapo chini
Ni zile pete nene za kiume...km issue ni kidole watu siku hizi huvaa pete kidole chochote tu
 
Attachments

  • 1441299960125.jpg
    1441299960125.jpg
    32.7 KB · Views: 644
Yaani insta wamesharusha picha akiwa na msichana mwingine...nadhani ni ex wa jamaa.
 
kaz ipo
 
Attachments

  • 1441314245401.jpg
    1441314245401.jpg
    18.3 KB · Views: 674
  • 1441314283867.jpg
    1441314283867.jpg
    16.8 KB · Views: 644
  • 1441314314302.jpg
    1441314314302.jpg
    20.2 KB · Views: 649
Hii nimeiona mahali..
 
Attachments

  • 1441348607619.jpg
    1441348607619.jpg
    59.7 KB · Views: 929
Mme WA mtu mtamu hivyo hivyoooo jack lisongeshee
 
Hongera sana Mdada mabadiliko.
CDM imeanza kuibadilisha safari yako ya maendeleo na mwngineyooo....
Tena Hongera sana
Teheeeee hiyo CDM ndo imemletea maendeleo ya kuvishwa pete na mume wa mtu?tena mwenye ndoa ya kanisan??
 
Achani kujadil ujinga ...watu tuko busy na wagombea urais
 
Back
Top Bottom